King'ei, K

Taaluma ya uandishi / Kitula King'ei - Nairobi : The Jomo Kenyatta Foundation , 2014' - v,175p.: ill.; 21cm.

Includes bibliographical reference

Ni kitabu kinachofafanua jinsi ya kutunga na kuandika aina tofauti za insha ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi na wasomi wa kawaida tungo za kisasa kama vile baruapepe, wasifukazi matangazo na barua za aina tofauti zimeelezewa na kutolewa mifano inayosadifu

9966229949


Kiswahili

DUCE PL8702.028